Last updated Wed Feb 15, 2006Member since February 2006
Hakuna Lisilowezekana! Imba na mtegemee Mungu; Healing is at your doorReply
Blog
Wed Feb 15 12:46am PST
ROZI MHANDO NA BAHATI BUKUKU NI WADOGO ZANGU
Sasa nimeona wakina Rozi Mhando na Bahati Bukuku ni wadogo zangu kimusic, na tunaheshimiana na wananielewa. Na nikaona kwamba ni vyema, waimbaji bado wanazaliwa ngoja na mim more
Katika Blog hii tunawaletea historia ya Waimbaji wa nyimbo za Injili - maisha yao, mafanikio, matarajio au malengo na matatizo mbalimbali wanayoyapata katika huduma hii kama sehemu ya kuujenga mwili wa Kristo. Wasiliana na simu namba 0744 307 202